Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,462
Kama LowassaKuna msemo unasemaga “mafanikio mengine katika maisha huwezi kuyafikia mpaka ujihusishe na nguvu za giza.”
Kwa mafanikio na mvuto aliokua nao Diamond Platnums, bila shaka kuna uwepo wa nguvu zisizoonekana zinazotenda kazi . Jamani huyu mtoto ni balaa, pengine tunamchukulia poa tu ila ana vitu vikubwa sana ndani yake ambavyo bila shaka amevipata au kuongezewa kwa msaada wa nguvu zisizoonekana.
Ndio tunajua Diamond ni Msanii mzuri, ana kipaji, anajituma sana , na anapenda kazi yake , ila jaman kuna kitu cha ziada kuhusu kijana wetu . Huu mvuto wa ajabu alionao toka aanze mziki hajawahi kushuka wala kuteteleka si bure .
Na bila shaka hizi nguvu hajapata kwa waganga wetu hawa wa tandika na magomen wa kuchanjana chale mpaka makalion[emoji16], naona ndugu yetu kavuka boda , nguvu zake sio za nchi hii.
View attachment 1375546
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni mchakato mrefu ulioanza na jina sahihi la kisanii Diamond Platnumz jina rafiki ktk dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano, jina linaloelezea ndoto kubwa na haiba ya kuvuta kama madini ya thamani... wasanii mfano ujiite Zumbekuku lazima utaishia kuwa na mvuto unaoishia ktk eneo moja tu la kidunia na matamanio yako ya umaarufu ni local.
Majina ya makampuni makubwa ya kimataifa yana siri / ndoto kubwa nyuma yake mfano Android, Canon, Oracle , etymology of Google googol , Olympus, Airbus , Audi, Adobe, Volkswagen, Nike, Phoenix , Amazon ilianza kuitwa A ili kwenye buku la majina litangulie kuibuka kabla ya kampuni zingine , Spectre roket n.k ukitafuta maana yake utanifahamu namaanisha nini kuhusu Diamond Platnumz :
Diamond :
a precious stone consisting of a clear and colourless crystalline form of pure carbon, the hardest naturally occurring substance.
"a diamond ring"
synonyms:
precious stone · jewel
- a tool with a small diamond for cutting glass.
- BRITISH
informal
(a diamond)
an excellent or very special person or thing.
"Fred's a diamond"- a figure with four straight sides of equal length forming two opposite acute angles and two opposite obtuse angles; a rhombus.
Platnumz : a precious silvery-white metal, the chemical element of atomic number 78. It was first encountered by the Spanish in South America in the 16th century, and is used in jewellery, electrical contacts, laboratory equipment, and industrial catalysts.
Diamond hayuko Freemason na wala hatumii uchawi wowote. Kitu pekee kimemuweka diamond on the pick kwa muda mrefu sasa ni nidhamu ya kazi, kujituma na kuwa na tamaa isiyoisha katika mafanikio.
Though kuna watu hawaamini mtu kufanikiwa kihalali, tuwaangalie wazungu ambao only they use the power of mind to come up with great innovations
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond is a feminine given name derived from the name of the diamond gemstone. The word is derived from the Greek adamas. The name was the 359th most popular name for baby girls born in the United States ..Tuanzie hapo kwa nini anatumia jina la kikeNi mchakato mrefu ulioanza na jina sahihi la kisanii Diamond Platnumz jina rafiki ktk dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano, jina linaloelezea ndoto kubwa na haiba ya kuvuta kama madini ya thamani... wasanii mfano ujiite Zumbekuku lazima utaishia kuwa na mvuto unaoishia ktk eneo moja tu la kidunia na matamanio yako ya umaarufu ni local.
Majina ya makampuni makubwa ya kimataifa yana siri / ndoto kubwa nyuma yake mfano Android, Canon, Oracle , etymology of Google googol , Olympus, Airbus , Audi, Adobe, Volkswagen, Nike, Phoenix , Amazon ilianza kuitwa A ili kwenye buku la majina litangulie kuibuka kabla ya kampuni zingine , Spectre roket n.k ukitafuta maana yake utanifahamu namaanisha nini kuhusu Diamond Platnumz :
Diamond :
a precious stone consisting of a clear and colourless crystalline form of pure carbon, the hardest naturally occurring substance.
"a diamond ring"
synonyms:
precious stone · jewel
- a tool with a small diamond for cutting glass.
- BRITISH
informal
(a diamond)
an excellent or very special person or thing.
"Fred's a diamond"- a figure with four straight sides of equal length forming two opposite acute angles and two opposite obtuse angles; a rhombus.
Platnumz : a precious silvery-white metal, the chemical element of atomic number 78. It was first encountered by the Spanish in South America in the 16th century, and is used in jewellery, electrical contacts, laboratory equipment, and industrial catalysts.
Nilitaka kusema kuhusu hili, majina tunayochagua yana nguvu kubwa katika mafanikio yetu pia.Ni mchakato mrefu ulioanza na jina sahihi la kisanii Diamond Platnumz jina rafiki ktk dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano, jina linaloelezea ndoto kubwa na haiba ya kuvuta kama madini ya thamani... wasanii mfano ujiite Zumbekuku lazima utaishia kuwa na mvuto unaoishia ktk eneo moja tu la kidunia na matamanio yako ya umaarufu ni local.
Majina ya makampuni makubwa ya kimataifa yana siri / ndoto kubwa nyuma yake mfano Android, Canon, Oracle , etymology of Google googol , Olympus, Airbus , Audi, Adobe, Volkswagen, Nike, Phoenix , Amazon ilianza kuitwa A ili kwenye buku la majina litangulie kuibuka kabla ya kampuni zingine , Spectre roket n.k ukitafuta maana yake utanifahamu namaanisha nini kuhusu Diamond Platnumz :
Diamond :
a precious stone consisting of a clear and colourless crystalline form of pure carbon, the hardest naturally occurring substance.
"a diamond ring"
synonyms:
precious stone · jewel
- a tool with a small diamond for cutting glass.
- BRITISH
informal
(a diamond)
an excellent or very special person or thing.
"Fred's a diamond"- a figure with four straight sides of equal length forming two opposite acute angles and two opposite obtuse angles; a rhombus.
Platnumz : a precious silvery-white metal, the chemical element of atomic number 78. It was first encountered by the Spanish in South America in the 16th century, and is used in jewellery, electrical contacts, laboratory equipment, and industrial catalysts.
Diamond aina ya madini.Diamond is a feminine given name derived from the name of the diamond gemstone. The word is derived from the Greek adamas. The name was the 359th most popular name for baby girls born in the United States ..Tuanzie hapo kwa nini anatumia jina la kike
Mfano mzuri Kuna msanii wa bongofleva anajiita Timbulo ambaye kwasasa kachapotea kwenye game.Nilitaka kusema kuhusu hili, majina tunayochagua yana nguvu kubwa katika mafanikio yetu pia.
Si kwamba Diamond alianza kujiita jina hilo baada ya mafanikio, ila akiwa kapuku tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond is a feminine given name derived from the name of the diamond gemstone. The word is derived from the Greek adamas. The name was the 359th most popular name for baby girls born in the United States ..Tuanzie hapo kwa nini anatumia jina la kike
Mfano mzuri Kuna msanii wa bongofleva anajiita Timbulo ambaye kwasasa kachapotea kwenye game
Kuna msemo unasemaga “mafanikio mengine katika maisha huwezi kuyafikia mpaka ujihusishe na nguvu za giza.”
Kwa mafanikio na mvuto aliokua nao Diamond Platnums, bila shaka kuna uwepo wa nguvu zisizoonekana zinazotenda kazi . Jamani huyu mtoto ni balaa, pengine tunamchukulia poa tu ila ana vitu vikubwa sana ndani yake ambavyo bila shaka amevipata au kuongezewa kwa msaada wa nguvu zisizoonekana.
Ndio tunajua Diamond ni Msanii mzuri, ana kipaji, anajituma sana , na anapenda kazi yake , ila jaman kuna kitu cha ziada kuhusu kijana wetu . Huu mvuto wa ajabu alionao toka aanze mziki hajawahi kushuka wala kuteteleka si bure .
Na bila shaka hizi nguvu hajapata kwa waganga wetu hawa wa tandika na magomen wa kuchanjana chale mpaka makalion[emoji16], naona ndugu yetu kavuka boda , nguvu zake sio za nchi hii.
View attachment 1375546
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mimi mwenyew Nina mvuto jamii forum , toka nianze umbea had leo hakuna wa kunifikia[emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Binamu wale wanachofanya,kupitia kipaji Mungu amekupa ndo wanakitumia!Wanasema hivyo ila sidhan , Diamond hana pesa hizo , ila mvuto alionao kwa jamii is just too extra , kuna nguvu za ziada ako nazo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Eheee sasa hapo kwenye kiroho kumegawanyika,kuna kiroho cha Giza na cha Nuru!Kabisa , ako na nguvu za kiroho, kwa level aliyofikia he needs it , ako na competitors kila sehem na maadui kama wote
Unajua ukiwa na nguvu za kiroho , hakuna atakayeweza kukushambulia kwenye ulimwengu unaoonekana, kuna siri nyingi za mafanikio kwenye ulimwengu usioonekana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wazungu pia ni Washirikina wakubwa kwa taarifa yako!Diamond hayuko Freemason na wala hatumii uchawi wowote. Kitu pekee kimemuweka diamond on the pick kwa muda mrefu sasa ni nidhamu ya kazi, kujituma na kuwa na tamaa isiyoisha katika mafanikio.