waliomvamia dr mvungi wakamatwa na gongo lita 15,,,,,,hivi hawa ni majambazi au wanywa gongo???,,,,,hii INCHI INATAMTHILIA NYINGI SANA...
Gongo na laptop yenye data za katiba wapi na wapi. Ukiangalia hasira za wabunge wa ccm bungeni utajua tu hata hao wajumbe wengine wako hatarini sana.

Puzzle needs to be solved
Mwigulu tena?Na kwa jinsi Mwigulu anavyoshindwa kuficha hasira zake juu ya mapendekezo yaliyoletwa na tume kuhusu katiba mpya, nawashauri Wajumbe watafute walinzi binafsi na silaha kali za kivita maana jamaa hatujui limeingiza mabomu mangapi toka China!
Naomba hili swala lisigeuzwe la kisiasa.
Walikamatwa pia na kofia yenye nembo ya chama kimoja maarufu kwa fujo na vurugu za kila aina.waliomvamia dr mvungi wakamatwa na gongo lita 15,,,,,,hivi hawa ni majambazi au wanywa gongo???,,,,,hii INCHI INATAMTHILIA NYINGI SANA...
Na kwa jinsi Mwigulu anavyoshindwa kuficha hasira zake juu ya mapendekezo yaliyoletwa na tume kuhusu katiba mpya, nawashauri Wajumbe watafute walinzi binafsi na silaha kali za kivita maana jamaa hatujui limeingiza mabomu mangapi toka China!