Ila mwenzie wa Marekani aliebuni M16 ni bonge la tajiri
hii AK47 ni mali ya state...ingawa ni best
lakini hakuwa na hakimiliki.....hata wanae hawataambulia kitu
M16 kwenye maji haifanyi kazi
ndo maana waVietnam waliokuwa na AK47 waliwashinda Wamarekani wenye M16...
silaha hii iliundwa mwaka 47 kwa matumizi ya kuua binadamu. ndio silaha pekee duniani iliyoua watu wengi kuliko nyingine. imeua wamarekani wengi sana kwenye vita ya Vietnam bila kusahau weusi barani afrika