Basi sawa....
Usaili na uendelee... lokesheni sio tatizo kabisa. Mazingira yanaruhusu na haka kamvua
View attachment 1101036
ππππ hiyo location kwa picha hapo naomba iwe ni sehemu ya mazungumzo tu
Kutunuku iwe sehemu ambayo mvua haifiki ili vyeti visije kuloa
Waambie basi jamaa wamwage material mengi nifanye tafsiri ya harakaharaka... nimechoka kusubiri utunukishwaji ujue...
Hebu nitafute maswali
Shhhhhiiiiiii.... tuko kwenye mtihani tafazaliLeo umechangamka kama vile umeamkia ZERO PUB.
Nitachagua biology ndio ina mambo nayohitajiChagua mwenyewe hapo kabla ya kutunuku.... Swali la biology au kemia?
Usisahau nje mvua inanyesha...
View attachment 1101044
Shhhhhiiiiiii.... tuko kwenye mtihani tafazali
Leo umechangamka kama vile umeamkia ZERO PUB.
K vant inatype,sio yeye
Kwa kutumia notes za biology form two, na picha iliyobandikwa, tofautisha kati ya plant na animal cellsNitachagua biology ndio ina mambo nayohitaji
Halafu we mzee umeanza lini kuwa handsome hivi?
Wisshing you success in your EXAMS
Basi mzee usimwage mchele sasaKwa kutumia notes za biology form two, na picha iliyobandikwa, tofautisha kati ya plant na animal cells
View attachment 1101050
Basi mzee usimwage mchele sasa
Kwa kutumia notes za biology form two, na picha iliyobandikwa, tofautisha kati ya plant na animal cells
View attachment 1101050
Inayofuata ni hii mzee mtumishi...
Vyeti havitunukiwi usiku mtumishiMbona kama Mchana kweupe pepepe