Basi sawa....
Usaili na uendelee... lokesheni sio tatizo kabisa. Mazingira yanaruhusu na haka kamvua
View attachment 1101036
😂😂😂😂 hiyo location kwa picha hapo naomba iwe ni sehemu ya mazungumzo tu
Kutunuku iwe sehemu ambayo mvua haifiki ili vyeti visije kuloa