Mvua Zimeanza Kunyesha!

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,108
5,626
Wakuu,
Niko Hapa Mwanhuzi,na Mvua Zimeanza Kunyesha Leo!
Ukanda Huu wa Meatu Mvua Huwa za Nadra za Kusuasua!
Kwa Mbano Huu wa Uchumi,Kilimo Atleast,Kitapunguza Makali!
Karibu Tulime Alizeti,Choroko na Mahind4
 
Ukimwona Happy mwehu hapo Mwanhuzi mwambie namsalimia sana!
 
Back
Top Bottom