πππ Hapa nawaza niende kurushia watu movie au nikaze tuuTandale natoa maji ndani huko jet Lumo kwa kina Poor Brain nasikia bati liliezuliwa
Cute Wife Hali ya sasa ni baridi tu na hakuna hata back up ya jotoWakuu,
Mvua imekubali, usiku wa kuamkia leo Machi 14 mvua imepiga kwelikweli, na mpaka sasa Dar bado inaendelea kunyesha, japokuwa speed imepungua.
Huko ulipo kuna hali gani? Njia zinapitika? Kuna palipotokea maafa? Tupeane updates kwa walio na changamoto wapate msaada haraka.
Hahahaha kapambane mdg etuπππ Hapa nawaza niende kurushia watu movie au nikaze tuu
Maaana kwa mvua hii daah pale hata hapakaliki yani
Si mnasemaga mishangazi imenyooka imekuje tena πCute Wife Hali ya sasa ni baridi tu na hakuna hata back up ya joto
Njia zinapitika kama kawaida πππ
Au labda niwe sijaelewa hili swali.
Changamoto ipo tena kubwa sana sana maana kwa sisi watu wa ma ant inasikitisha maana mpaka sasa mtu awezi kuja anasema mvua mvua mvu ππππ
Show kali leo naenda maliza unit tu kule aiseeeHahahaha kapambane mdg etu
Ndo na mvua hii mkuu ebu kuwa seriously πππππππSi mnasemaga mishangazi imenyooka imekuje tena π
Kwan kwako hapafikiki mvua ikinyesha akifika ameloa si ndio vizuriNdo na mvua hii mkuu ebu kuwa seriously πππππππ
Daaah we sio rahisi hivo.Kwan kwako hapafikiki mvua ikinyesha akifika ameloa si ndio vizuri
Au mnaenda hotel π
Hahaha ikawe khery kwakoShow kali leo naenda maliza unit tu kule aiseee
Mkuu unawanza uzinzi tuπππ kama uko salama ni vizuriCute Wife Hali ya sasa ni baridi tu na hakuna hata back up ya joto
Njia zinapitika kama kawaida πππ
Au labda niwe sijaelewa hili swali.
Changamoto ipo tena kubwa sana sana maana kwa sisi watu wa ma ant inasikitisha maana mpaka sasa mtu awezi kuja anasema mvua mvua mvu ππππ
Unaenda nyumba umenunua wewe ?Daaah we sio rahisi hivo.
Alafu zingatia leo ni siku ya kazi pia ...
Hapa labda useme mimi ndio niende na hapa nasubri kamvua kapoe ili niende nikajipoze kidogo.
Maana kasema niende tuu
Hali ya hewa ina ruhusu hii mkuu....Mkuu unawanza uzinzi tuπππ kama uko salama ni vizuri
Ingekua hvo basi watu wangekua wanafanywa mbaya kila siku..Unaenda nyumba umenunua wewe ?
Kodi unalipa wewe?
Jichanganye wa ku mafweleπ«£π