THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 767
- 956
Mimi nimeotesha alizeti zimeshafukuliwa na kwale na kuku.Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Hebu fafanua zaidiHili jua linanyonya maji yote on surface kifuatacho ni mvua joto na jua vyote vikali and ucku kuna baridi balaa
Siyo Wahuni ni Wanasayansi wenye PhD , Masters na Bachelor Degree ya Fani Yao.Yaani kabisa uliwaamini wale wahuni wa hali ya hewa?
Walisema kuanzia October mpaka December. October ndio kwanza ipo katikatiNimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Utabiri una matokeo mawili acha kujiweka upande mmoja...
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naskia wameisogeza mbele
Nmekumiss EvaTunaishukuru serikali sikivu ya ccm kutuepushia elnino.....
Bado uko bondeni?Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?