Mvua ya Samaki huko Thailand, tazama picha

Hakuna kitu kama hicho ni gharika iliyotapishwa na bahari na kuingia mtaani ikisomba samaki na uchafu mwingine wa baharini...ni habari ya kitambo hii!
 
Hakuna kitu kama hicho ni gharika iliyotapishwa na bahari na kuingia mtaani ikisomba samaki na vuchafu mwingin wa baharini...ni habari ya kitambo hii!
Mkuu huoni picha ya mwisho samaki wanashuka to juu?
 
Hao jamaa badala ya kutafuta mifuko wajaze samaki wanazubaa tu mwisho samaki wataharibika bure
 
Hivi ile Mvua ya kutengeneza aliyo taka kutuletea mheshimiwa ya kutoka Thailand Inge kuwa Ina kuja Na Neema ya Samaki
 
Mmhh kama ni kweli basi ni very interesting story
Hakuna kitu kama hicho ni gharika iliyotapishwa na bahari na kuingia mtaani ikisomba samaki na uchafu mwingine wa baharini...ni habari ya kitambo hii!
 
m ua ya samaki iliwahi nyesha nakumbuka ilikua mwaka juzi kama sikosei.
 
Huu ni uzushi wa kwenye mtandao na baadhi ya picha ni pichaduka.Tujaribu kutafuta ukweli kwenye mtandao kwa kuwa tuna wasaa huo kwasasa
 
Kwani huku kwetu mbona hutokeaga kule Loliondo karibu kila mwaka?? Uliza watu wa loliondo, tena ni hao hao kambale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…