Hata maombi nchini kote yalifanyika ghafla na yakasitishwa ghafla. Tujifunzeni kuomba kila wakati!Jamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasahv imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari
Teh teh teh tehNa kusafiri hapendi, mbona tunalo mkuu.
Nchi nzima? Wewe una data za nchi nzima au unaropoka tu, mie niliko mvua inanyeaha mno mvua nyingi sana tena kila sikuJamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasahv imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari
Duuh tunajua watu siasa imewajaa mpaka wanataka kumsemea na mtu mwingne wa sehemu nyingnembeya mvua imenyesha jana... wewe upo nchi nzima?
UWONGO KATIKA UBORA WAKEJamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasahv imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari
Ha ha ha jibu Mubashara[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo wwe upo nchi nzima?
Tuombe Mungu aondoke tena
Hivi kuna button ya kuzima mvua nchi zima na unaifahamu ilipo kiasi kwamba ikibonyezwa unajua hakuna mvua nchi nzima? Mbona huku nilipo inanyesha.Jamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasa hivi imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari