mvua kubwa ya leo dar

mvua kubwa ya leo dar

triple

Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Nimerudi nyumbani nimekuta maji yameingilia dirishani yamejaa ndani sasa kwa wenzangu sijui hali ikoje hususani wa mabondeni
 
Hama huko mabondeni acha kuzuga...
 
Mmeshaambiwa hameni mabondeni hamtaki deki na kesho utayakuta tena yamejaa
 
Back
Top Bottom