Mvua kubwa uko manungu

Kama tunavyojua mnyama simba anapepetana na mtibwa sugar katika uwanja wa manungu complex

Mvua kubwa Sana imenyesha maji ni mengi mengi uwanjani na nje ya uwanja

Tunasubili kujua hatima ya mchezo huu
Bechi la ufundi la simba limeingia uwanjani kukagua uwanja Kama utafaa au la!!
"Mvua ikinyesha Simba ana shinda " maneno ya mashabiki wa Simba tokea enzi na enzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom