Kanda ya ziwa pana mzee baba, may be ongelea mwanza specific,Hii mvua imeanza kunywesha mida ya saa kumi ya usiku ikiwa na radi na upepo mkali sana, imeezua nyumba zetu na kutufanya wengine tuoge bila ya kutarajia. Bado atujajua majaliwa ya wale wenzetu wavuvi waliopo ziwani kwa shuguli za uvuvi. Hadi mida hii nikiandika uzi huu mvua ya wastani yaendelea kunyesha.Tunaomba M/Mungu atunusuru na mvua hizi zisiwe za kutuangamiza, hatuna wa msaada zaidi ya Muumba wa mbingu na ardhi!
... maombi gani?Maombi yamejibiwa....
TMA huenda walikuwa sawa, ila viongozi wa dini walimwomba MUNGU alete mvua..Aisee,.sasa hawa TMA mbona hawaeleweki,walisema tujiandae na ukame maana hakutakuwa na mvua yoyote..sasa hizi zinazonyesha ni nini,.au walitabiria Zimbabwe....??
Poleni sana wana kanda ya ziwa,.
Sasa kumbe jana ilinyesha, unauliza nini tena?Mkuu kanda ya ziwa kubwa na Mwanza kubwa. Unaongelea sehemu gani?nilipo kuna wingu la kutosha ila hamna mvua iliyonyesha usiku zaidi ya jana mchana
We mlokole punguza jazba. au hutaki kukubali maombi yamejibiwa?... maombi gani?
Sasa kumbe jana ilinyesha, unauliza nini tena?
Watu wengine bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ata wingu hatujaona
Dah...huku Dar naona wachina bado wameishikilia mvua...Hadi wamalize kujenga daraja la ubungo...[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanza mjin mvua huwa inanyesha tuu tangu mwez wa kumi inanyesha tu tena kubwa...ila ukiondoka nje ya mji hakuna mvua kabisa...
... punguani!We mlokole punguza jazba. au hutaki kukubali maombi yamejibiwa?