Mvua kubwa ikiambatana na Upepo mkali kunyesha ndani ya saa 24 Ukanda wa Pwani na Zanzibar

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
TAHADHARI MVUA KUBWA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TZ: Maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani na Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba

Wakazi wa maeneo tajwa wanashauriwa kuchukua tahadhari na hatua stahiki. Hali hii inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua sambamba na uwepo kimbunga FANTALA katika Bahari ya Hindi.

==============
GPM sees heavy rain in Tropical Cyclone Fantala

gpmseesheavy.jpg

On April 12, 2016 at 0157 UTC GPM again had a good view of tropical cyclone Fantala when sustained wind speeds had increased to about 45 kts (52 mph). Fantala was getting better organized with GPM showing intense bands spiraling into the center. Precipitation was found by GPM dropping rain at a rate of 189 mm (7.4 inches) per hour in these feeder bands. GPM's radar (DPR) found powerful thunderstorms reaching altitudes of over 16 km (9.9 miles).

At 0900 UTC (5 a.m. EDT) Fantala was located near 19.2 south and 66.7 east, about 488 nautical miles southwest of Diego Garcia. Fantala was moving to the west at 12 knots (13.8 mph/22.2 kph) and had maximum sustained winds near 80 knots (92 mph/148 kph)

The Joint Typhoon Warning Center (JTWC) predicts that tropical cyclone Fantala will intensify and have maximum sustained winds of 120 kts (138 mph) in a few days. Fantala is expected to continue heading toward the west and may be a concern for northern Madagascar after April 17, 2016.

CHANZO: GPM sees heavy rain in Tropical Cyclone Fantal

ZAIDI: NASA eyes powerful storms in newborn Tropical Cyclone Fantala
 
Lindi inanyesha tangu mchana
Na Mtwara pia inapiga kwa vipindi tangu asubuhi, nimehoji Lindi na Mtwara kwasababu unaweza kuta mamlaka ya hali ya hewa wanawatahadharisha wengine kumbe mafuriko yakatokea pwani ya kusini.
 
Umesema kweli maana wingu ni zito...unataja vp Morogoro na unasahau lindi na Mtwara wkt Pwan ya Tz ni Tanga, Dar coast lindi Mtwara na Visiwani.
 
Ndiyo naona hapa nje nyota sizion ni mawingu ya haja.na sisi tuna ikaribisha Kwa shingo upande.
 
Acha inyeshe tumeumia sana na joto na isitoshe hakuna nyumba bondeni zote zilishabomolewa
 
TAHADHARI MVUA KUBWA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA TZ: Maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Pwani na Morogoro pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba

Wakazi wa maeneo tajwa wanashauriwa kuchukua tahadhari na hatua stahiki. Hali hii inatokana na kuimarika kwa ukanda wa mvua sambamba na uwepo kimbunga FANTALA katika Bahari ya Hindi.

==============
GPM sees heavy rain in Tropical Cyclone Fantala

gpmseesheavy.jpg

On April 12, 2016 at 0157 UTC GPM again had a good view of tropical cyclone Fantala when sustained wind speeds had increased to about 45 kts (52 mph). Fantala was getting better organized with GPM showing intense bands spiraling into the center. Precipitation was found by GPM dropping rain at a rate of 189 mm (7.4 inches) per hour in these feeder bands. GPM's radar (DPR) found powerful thunderstorms reaching altitudes of over 16 km (9.9 miles).

At 0900 UTC (5 a.m. EDT) Fantala was located near 19.2 south and 66.7 east, about 488 nautical miles southwest of Diego Garcia. Fantala was moving to the west at 12 knots (13.8 mph/22.2 kph) and had maximum sustained winds near 80 knots (92 mph/148 kph)

The Joint Typhoon Warning Center (JTWC) predicts that tropical cyclone Fantala will intensify and have maximum sustained winds of 120 kts (138 mph) in a few days. Fantala is expected to continue heading toward the west and may be a concern for northern Madagascar after April 17, 2016.

CHANZO: GPM sees heavy rain in Tropical Cyclone Fantal

ZAIDI: NASA eyes powerful storms in newborn Tropical Cyclone Fantala
Ni kweli mkuu..hizi ni picha za satellite zikionyesha kimbunga kikisogea taratibu kuja pwani yetu

blogger-image-2002968301.jpg

blogger-image-906542335.jpg

FANTALA ni kimbunga kikubwa na wakazi wa maeneo ya pwani wachukue tahadhari..hususan watu wa mabondeni.
Mpaka kufikia tar. 17 Aprili hali itakuwa hivi
blogger-image-592633299.jpg

XTREME WEATHER FORECAST (XWF) For Laymen: Cyclone FANTALA April 2016: Latest Updates
 
Back
Top Bottom