Mvua kubwa gongolamboto

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
830
Reaction score
184
Jamani msaada wa haraka wahitajika Gongolamboto mvua kubwa sana
 
Mahema yameangushwa na upepo watoto wadogo wanalowa ili hali wagodoro na vifaa vingine vikiwemo chakula vimelowa
 
hilo ni janga lingine kwa hao ndugu zetu wanaoishi kwenye mahema
 
Tafuteni namna ya kujiokoa maana mwenye nchi yuko busy anaokoa maisha ya watu wa ivory coast
 
hayo mabomu lazima ndio chanzo koz hule moshi ulioluka kwa hewa cjui kama ucngeleta madhara ka haya:rain:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…