Rajab mrutu New Member Joined Feb 3, 2013 Posts 4 Reaction score 0 Mar 6, 2014 #21 Nibaada yakunyesha takribani masaa sita. Watu wengi wameshidwa kwenda makazini kwa muda husika nahivyo kupelekea siku ya leo kuifanya mapumziko. Wengi wao niwale wanaofanya biashara maeneo ya wazi.
Nibaada yakunyesha takribani masaa sita. Watu wengi wameshidwa kwenda makazini kwa muda husika nahivyo kupelekea siku ya leo kuifanya mapumziko. Wengi wao niwale wanaofanya biashara maeneo ya wazi.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,930 Reaction score 1,162 Mar 6, 2014 #22 Kwangu mimi leo neema tu, maana nawavusha watu huku mabondeni na ninapata ujira mzuri kidogo.
deepsea JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 3,287 Reaction score 947 Mar 6, 2014 #23 mji huu leo lazima utokee mfumuko wa bei
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Mar 6, 2014 #24 Inyeshe tueshimiane tu ila nina hofu na mimba tutarajie vitambi vya kinamama wengi mwezi 12
said rashid JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 203 Reaction score 113 Mar 6, 2014 #25 Kibo10 said: Inyeshe tueshimiane tu ila nina hofu na mimba tutarajie vitambi vya kinamama wengi mwezi 12 Click to expand... Kaazi kweli kweli! Usisahau kuwapa pole wanaume waliosafiri kwenda mikoani na kuwaacha wake zao alone, full kuchapiwa
Kibo10 said: Inyeshe tueshimiane tu ila nina hofu na mimba tutarajie vitambi vya kinamama wengi mwezi 12 Click to expand... Kaazi kweli kweli! Usisahau kuwapa pole wanaume waliosafiri kwenda mikoani na kuwaacha wake zao alone, full kuchapiwa