Hapa wa2 wanaoishi mabondeni wanatakiwa kuhama haraka sana.
wameshaihamisha mvua
Hii mvua kunyesha kidogo kitaa kuna maji balaa ajabu yananuka harufu ya mkunyo,hii hatari sana Mungu atuepushe kwa kipindupindu na kichocho.
kweli safari hii wamepata....Hali ya Hewa hii wamepatia....walitangaza
kwa habari nilizonazo,itanyesha siku 3 mfululizo ukanda wa pwani
watu wanafungulia vyoo vyao