Katika pita pita zangu huku nimekutana na taarifa ambazo zinaonyesha uwezekano wa mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam na maaneo ya karibu.
Nimefuatilia habari kwa karibu lakini sijaona tangazo lolote au onyo kutoka Mamlaka yetu ya hali ya hewa.
Ni vizuri tukachukua taadhari mapema ili ikitokea isije kuwa kama December iliyopita.
mkuu, hizi taarifa sio lazima zije kama zilivyotangazwa lakini mara nyingi huwa zinatokea karibia kwa 70-80%.
Au unaleta habari ya kuwa "mimi sio Mungu kuleta mvua"!?
Hawa TMA was*****e sana yahani wakiona mvua imeanza kunyesha ndo wanatoa utabiri ikiacha na wenyewe kimyaaaaaa. Inamaana hao kazi yao ni kutabiri mvua tu? Du kweli kazi ipo