aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,504
Tanesco wanakata na kurejesha umeme kama vile mtoto anavyochezea gamewadau niko pande za Tabata kuna mvua inanyesha sasa hivi si ya kawaida.... vp wadau wa dar hii kitu ni mji mzima au......usingizi wote umekata na nishaanza kusikia harufu ya maji machafu hatari!!!