ni kwa sbb barabara za mitaani haitumiki kama mvua ikinyesha...zinakuwa n madimbwi, ivo kila mtu anakimbilia barabara kubwa...vilevile barabara zikiwa na maji kwenye madimbwi watu hawajiachii kivile katika kuendesha magari yao...hence...foleni..