...Mkuu walevi wazoefu hata ukimwambia atembee juu ya kamba anasepa vizuri kabisa...sembuse humo kwenye matofali???Sasa wakishalewa inakuaje wakati wa kukanyaga matofali ili waende nyumbani kunausalama kweli ?
Pole wenzetu na hayo mafuriko.......
Mtava ndio wapi?Jaribu Mtava uone shughuli.
Mtava ndio wapi?