Lile ni jeneza linalotembea!!! Halafu eti wanajisifia kuwa ina zaidi ya miaka 100!!lile ni gari la mkaa!! Likianza safari kurudi tena lilipoanzia ni kama mwezi mmoja, miaka ya nyuma lilikuwa linajulikana kama oil tanker, kwani ndio lilikuwa linawauzia mafuta ya wizi wavuvi, yaani wafanyakazi walikuwa wanagema mafuta balaaa!!! Hadi siku moja walizidisha kupiga kidebe hadi likazimikia ziwani!!!