Jasusi (what a name!) sijapotea, nipo, na hapa JF nakuja kila ninapopata nafasi. Nitakuwepo Dar soon (Ninakuwepo kila Noeli), na kama si nongwa basi tukutane. I roam the whole of Mbezi Beach.
Sasa huyu ndugu yetu aliyesema aliamua kuwa na baraza kubwa la mawaziri kwa ajili ya "program aliyokuwa nayo", anatuachaje?