Kaka wabongo wanafik mno aisee, i dont trust hawa wanaojiganya propaganda humu... Unakumbuka yule kenge ludovic aliyemlengesha lwakatare na ile video? Au hujaona hata humu threadzinazogusa watu fulani hazikai? Na je ukikutana na wafanya mamuzi ya nini kibaki humu huwanafanya nini? Sio zilezile lip services?