Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo

nina nyimbo mbili za mkongwe wa muziki huo...
Hapa namzungumzia Saleh Jabir.
Alitamba na Ice Ice pamoja na OPP.
huwa nikizisikiliza napata ladha halisi ya kipindi kile.....
 
Niggaz 2 Public vijna tuwe makini
Aisee jamaa walikua vizuri, Suda Soldier alikuwa mkali wa kufree-style balaaa, ili uweze kusikia nyimbo hizi miaka hiyo lazima utegee sikio dj show redio one dkk 15 kabla ya saa 9 alasairi ndio ulikuwa mda kupiga ngoma za kibongo! Ukimis hapo ni usiku chombeza au kesho yake tena kwenye dj show
 
Bosi Michembe,
Naona umefunguka sana kuhusu Mwanza nimeelezea mwanzo nilipita huku kipindi hicho hawa jamaa wa Wipwaa nimekutana nao UK miaka miwili iliyopita wanaitwa Yusufu na kaka yake Mbega..hivi DJ Eddy na Young Millionea wapo?
 
Last edited by a moderator:
Long tym sana mwakalinga kumbe Afro Reign ni kina Sebastiana maganga? Du kuna Trak yao Inaitwa Saa za kazi ft Dogo Hasheem kama unayo yenye quality nzuri nitupie hapa,niliyonayo ilirecordiwa kwenye Tape Radio One!!

"Chochote unachofanya fanya kwa uhakika,nani mzugaji na nani anawajibika wenye vipaji na fani wanahesabika kama kweli ni msanii wa kweli mida ya kazi" yo Afro Reign Du usipime hyo 1999!
 
Bosi Michembe,
Naona umefunguka sana kuhusu Mwanza nimeelezea mwanzo nilipita huku kipindi hicho hawa jamaa wa Wipwaa nimekutana nao UK miaka miwili iliyopita wanaitwa Yusufu na kaka yake Mbega..hivi DJ Eddy na Young Millionea wapo?

Huyo si ndio Jacob Nsungu wa RFA?
 
Last edited by a moderator:
Mziki bana!mtu kama nigga J alifanya kukaribishwa hard blasters lakini yeye ndo anaonekana kama ndo mbeba jahazi wa kundi!...kipindi hiko terry a.k.a fanani hakamatiki kwa michano na kutawala jukwaa!....saigon wa DPT ndo alikuwa sukari ya warembo miaka hiyo!
 
Bosi Michembe,
Naona umefunguka sana kuhusu Mwanza nimeelezea mwanzo nilipita huku kipindi hicho hawa jamaa wa Wipwaa nimekutana nao UK miaka miwili iliyopita wanaitwa Yusufu na kaka yake Mbega..hivi DJ Eddy na Young Millionea wapo?

Yes Yusuph na Mbega bado wako yuko ni raia kabisa i think.. Mbega aliacha music zamani sana walibaki Yusuph, Ksolo na K-phunk, aliyebaki anafanya ni Yusuph and it's just for fun.. Dj Eddy sijamuona kitambo aisee lakini Young Millionea yupo ndio Jacob Usungu kama mdau mmoja juu alivyouliza..
 
Cheza,
kwa mapepe cheza,
Na N2P Cheza,
Mapepe Star Cheza
Kama unaweza, Kubamiza, Charanga,

Nakuja moja mbili mpaka na tatu kama chatu,
Nivuruge na madawa kuyakana katukatu,
Na mi si fyatu,
Na N2P tunasema;
Usipendelee pendelee Bwimbwi Tanzania sio ya Bwimbwi,

Sababu ya kuvuta Unga, na madawa kujidunga,
Wavuta drugs, Mandrax, Coctaaaail,
Wapendeza ten ten, Utabaki shingo feeen,

Nimesahau baadhi ya mistari!!
But nakumbuka wimbo uliitwa (Fikiri Nchini) Vijana kua Makini.

Kuna nyimbo nyingi za zamani kama makalateli,
Makaleteli, we you know makalateli,
Piga vingi vishindo, mingi mishiko watu hey hey!!
Shika microphone chana hiphop wanga ....

Na kuna wale walioimba "kithathaa",
Wakati wa kujilinda sasa, utakoma utahenya Na kithathaa,

Hivi wadau hizi nyimbo Inapatikana wapi??
 
makalatee you know makalatee..za kichinachina za kichinachina huuhaa...hawa ni W10N''Weu Kumi Ngangari'' kina Jini Jeshi ila hawa sio wa kitambo sana...

'Kizaazaa' kina Jos Mtambo hao..
 
nina nyimbo mbili za mkongwe wa muziki huo...
Hapa namzungumzia Saleh Jabir.
Alitamba na Ice Ice pamoja na OPP.
huwa nikizisikiliza napata ladha halisi ya kipindi kile.....
Kaka ntakupataje??
Namzimia sana huyo jamaa
 
Kuna nyimbo nyingi za zamani kama makalateli,
Makaleteli, we you know makalateli,
Piga vingi vishindo, mingi mishiko watu hey hey!!
Shika microphone chana hiphop wanga ....

Na kuna wale walioimba "kithathaa",
Wakati wa kujilinda sasa, utakoma utahenya Na kithathaa,

Hivi wadau hizi nyimbo Inapatikana wapi??
Sir burn...we mbishi man!hili goma la makaratee ni nouma sana japo halikupata air time ya kutosha ni radio uhuru ndo walikuwa wanaligonga sana!hao mabaharia walikuwa wanaitwa W 10 N yaani WEHU KUMI NGANGARI!shavu walimpa kichaa mmoja wa MAGOMENI MAJI YA UGOKO!pini la kisela sana lilikuwa hilo na kama ntaweza kulipata ntafurahi sana...kuna verse wanakuambia..''maskani live mke wa mtu kaukalia''!
 
Last edited by a moderator:
makalatee you know makalatee..za kichinachina za kichinachina huuhaa...hawa ni W10N''Weu Kumi Ngangari'' kina Jini Jeshi ila hawa sio wa kitambo sana...

'Kizaazaa' kina Jos Mtambo hao..
matumbo...naweza kupata hilo pini la kina JINI JESHI?lilikuwa balaa sana hilo ngoma!katika fani walikuwa wapya
 
Last edited by a moderator:
matumbo...naweza kupata hilo pini la kina JINI JESHI?lilikuwa balaa sana hilo ngoma!katika fani walikuwa wapya

duh hii ngoma sina mwanangu ila ntamcheki mchizi wangu mmoja huwa ana hazina ya kutosha ya hizi vitu,nikiipata ntaimwaga hapahapa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwakalinga Y. R
Asante kutukumbusha mbali.

Nimesoma ila sikubahatika kuliona jina la kijana mmoja akiitwa Adili Kumbuka (rip) alikuwa akisoma IST, wakati Bills inafunguliwa, siku za Ijumaa kulikuwa na free styles vijana hao wakipanda panda ku rap on stage.

Usikute hii historia imekuwa ducumented na wazungu!, sisi wenyewe... wala hatuna habari!.

Nimeukumbuka huu wimbo wa kwanza wa Suma Lee na ndio uliomtoa, wenye fumbo la chenza na chungwa

{Amina njoo nikutume kwa kina Aisha
Mwambie Aisha Aje
Kama hataki usimbembeleze
Basi mwambie asije} x 2 (chorus)

Minajua alikuwa ananiambatia
Akaniongopea tunda langu chenza kanihifadhia hui hui hui
Kumbe chungwa kalimenya utadhani chenza
Na lishamegwa na waume wenza ha ha ha ha
Chungwa kalimenya utadhani chenza
Na lishamegwa na waume wenza ha ha ha ha
Bora chenza ngefanisha na limao
Kama si kwa kula ndo ungejua sio
Amina mwambie Aisha aje
Aje na hilo chungwa, aje anipe asiogope, aache mapepe
Basi kama chungwa sitolila kwa nongwa
Basi kama chenza ila nalitunza, lla anipe apunguze mapepe ee ee
Kama hataki usimbembeleze, basi mwambie asije.

(chorus)

Ee najua Hamisa alishamshutukia
Ndio maana akiniona sehemu yoyote nilipo anakimbia ha ha ha ha
Amina mwambie Aisha aje, hata kama ana chungwa, aje hivyo hivyo
Thamani ya mwanamke sio chenza no,
Thamani ya mwanamke ni mwenyewe jinsi alivyo
Wengi wameolewa na machenza, ndoa zao wameshindwa kuzitunza
Na wangapi wameolewa wana chungwa, mpaka sasa ndoa zao wanazichunga
Au basi mwambie asije, huwezi kujua mie ananionaje
Yallah naumia, mi nimeumia, au akinipa mimi nitamkimbia aa
Kwa jinsi mimi ninavyomfagilia aa, Mungu mwenyewe ndio mwenye kujua
Akikubali kwangu msogeze, aje aniliwaze.

(chorus) x 2

Pasco.
 
Mkuu Pasco kweli hii documentary imetengenezwa na wazungu.Mike Muhagama naye ameandika documentary ila alizungumzia zaiidi uwelewa wake na uzoefu wake wa Music wa Bongo kwa sababu alikuwa mmoja wa watu waliochangia maendeleo ya music huu wa Bongo kwa kiwango kikubwa sana.Salute kwake.

Hawa jamaa walioandika hii documentary walifanya utafiti wa hali ya juu sana ,nimesoma jinsi walivyowaelezea wasanii wa zamani kwa uchache, nikagundua hilo mfano " From the Arusha school of rappers, this posse included the Hardcore Unity (HU), infamous for their 'HU' shouts. ".
Nilikuwa Arusha enzi hizo, nilikuwa nimeshasahau kuwa hawa jamaa kila mahali ulikuwa ukikutana nao wana shout HUUU ! kama salamu.Bila kufanya research huwezi ukajua vitu kama hivi kiurahisi.
 
Mr. Ebbo alianza kwa kuimba R&b ambapo alitoka Na wimbo wa "GIRL" ukitumia instrumental ya "this love" from Donnel Jones.

Ndipo akaja kubadili Na kuimba kimasai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom