Hii bendi ilianzishwa huko US mwaka 2005. inaimba indie rock na folk rock (mziki wa asili). walitoa album yao ya kwanza mwaka 2012 inaitwa the lumineers hii ilishika no 2 kwenye billboard 200. Album ya pili inaitwa cleopatra imetoka 2016. hii imeshika no 1 kwenye billboard 200.
Ho hey mara ya kwanza kabisa kuusikia aliniletea Sista angu mwaka 2012.
I'm always cascaded by nostalgia and a missing home spree whenever i listen to this song.