MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
- Thread starter
- #401
Umetisha sanaaaa!
ππππππ
Pana mshkaji wangu huu wimbo alikuwa akiutambua kama o chachi panchi siku zimeenda wapi?Umetisha sanaaaa!
ππππππ
Sahivi anaweza kubishaPana mshkaji wangu huu wimbo alikuwa akiutambua kama o chachi panchi siku zimeenda wapi?
Hahahaha pana siku niliupiga makusudically ili nimkere tu alichonijibu mzee husahau tu kesha akanyamaza.
Yuko vere vere huyu Mjuba
Hiyo ngoma sio mchezoMzee wa suddenly na hiki kibao jamaa alikuwa wa moto sana
Daahh hii nyimbo ukiachwa inaweza kukutoa machozi
Daahh enzi hizo bwana mziki ulipokuwa mziki haswaa
Hii ngoma simchezo ndio muito wangu wa simuDah.... You are my type aiseee mbona unapita mule mule