Muziki from Zenji bana lol

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196


Mimi hoiiii Hivi huu nao ni utamaduni wa Tanzania au ni Wa Zenji?

Source Michuzi Blog
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha ha...!!!
Mambo ya pwani pwani tu hayo Zenj kuna sumsumia maarufu pale mitaa ya Malindi funguni siyo pale bandarini simba alipopewa chai...!
 
Huyo msichana ni M'bara, angekuwa Mzenji basi hao jamaa wangekwishadundwa na kaka au wajomba zake.

Hiyo ni aibu, laana na tumuombe Mwenyezi Mungu atunusuru na nakama.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom