Muvies mpya kali.

Mnyaluhala.

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,430
Reaction score
1,789
Habari ndugu. Kwa yeyote mwenye muvies mpya na kali naomba tuwasiliane napenda muvies lakini sijui nazipataje, nipo tayari kuzilipia atakayependa kufanya hivyo.
 
mkuu siku hizi torrents ndo mpango mzima...kama unaweza kulipia hiyo hela nunua bando ingina net muvi zimejaa tele unachagua unayotaka then downlaod...simple!! Kuhusu muvi mpya ni nyingi mnooo...inategemea wewe ni mpz wa muzi za dizaini ipi...action, story, horror, nk...sku izi muvi ikitoka leo huko ulaya baada ya siku moja mpaka mbili unaanza kuipata kwenye internet kwa kudownload..
 
Habari ndugu. Kwa yeyote mwenye muvies mpya na kali naomba tuwasiliane napenda muvies lakini sijui nazipataje, nipo tayari kuzilipia atakayependa kufanya hivyo.

Mi ninazo sasa sijui nitakupataje nazo kali za 2014 na 2013 kama ishirini hivi ambazo ni kali sana
 
Movie za kisasa nyingi hazina mvuto movie za zamani bwana ni kwele.
 
Mi ninazo sasa sijui nitakupataje nazo kali za 2014 na 2013 kama ishirini hivi ambazo ni kali sana

Daaaah kiongozi nitakupataje maana nahitaji movie hata mimi sometime nipoteze mawazo ....nipo dar kigamboni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…