The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
mkuu nilikuwa nasafiri kwenda mbeya na mabasi yetu wakatuwekea movie ya 20%
aisee inaboa kinoma yaani,kwenye basi kulikuwa na watu wa mataifa mbalimbali yaani niliona aibu sana
Eti Mtu anaenda airport na nguo nyingine akishuka kwny gari kavaa nguo ingine!ha ha ha,yan cjui kwann tasnia ya film imevamiwa na mbumbumbu,wenzetu ukifatilia tu wale wanaoigiza drama series,wana degree na masters za sanaa,producers wamesoma,afu leo uniambie nimwangalie kanumba,nishndwe kucheki vitu kama The event,fringe,vampire diaries,24,lost n.k na films za ukweli za hollywood..eti nipoteze muda kumuangalia anti ezekiel,akilamba midomo.
<br />Ever seen a movie called "butterfly on a wheel", then nenda kaiangalie "black sunday" ya kanumba. Then utaamini kwamba kweli wabongo hatupo creative when it comes to hawa movie producers! Ni ame COPY and PASTE kila kitu except vile vichache ambavyo technologia yetu imeshindwa!
Yani mimi hua siangalii kabisa coz nitaanza kukosoa mwanzo mwisho halafu sitaona uhondo wa hiyo movie. Yani mtu anamwambia mwenzie"Yani huyu mwanaume ni mkali kama simba" Mwenzie naye anajibu " ina maana huy mwanaume ni mkali kama simba?" hahahaha... loh! siangalii kabisa, labda bahati mbaya nikiwa safarini wakiweka na huwa sifungui macho ila nashindwa tu kuziba masikio..Mimi ni mmoja ya watu ambao tangu zamani nilikua sipend kabisa kuangalia muvi za kibongo. Kuna ndugu yangu mmoja alinishawishi kwa kuniletea cd kama kumi hivi ila baada ya kuziangalia nimeapa kutoangalia tena muvi. KWANZA,hakuna uhalisia kabisa kwenye hizo muvi yan ni bora kuangalia maigizo ya kwenye tv. Mtu anaekt wakat mwingine anajisahau anaishangaa kamera,au kinasa sauti kinaonekana kabisa. Hata matukio yenyewe sanyingine ni imaginary kwa mfano et mtu anajiambia ngoja niende kwenye fridge nikachukue maji ninywe af niondoke wakat ki uhalisia m2 huwez jiambia wakat unaenda kunywa maji. PILI,TAtizo ni lack of continuity,yan hapa ndo pananikera sana. Unakuta muvi mmoja ina part1 adi 3 alafu hamna hata cha maana basi yan wanafanya makusudi ili kuwalia pesa wananchi. Yan kwa kwel ukianza kuzichambua kero ni nying sana mpaka nashndwa maliza. TATU,wanatufanya wapumbav kwakuiba script za wanaijeria na hollywood. Kuna muv unaamgalia ad umajiuliza jaman mbnna hii muvi kma muv flan? Yan wanachofanya ni kucopy na kupaste
<br />Halafu title zao ukizisoma tayari movie imeisha. Movie title hazi shawishi kutaka kujua itakachotokea au title zingine hazina maana hata kidogo. Mfano "Bed rest" au "Fake Pregnant" (pregnancy)