Muuzaji wa duka la dawa mwanza

Muuzaji wa duka la dawa mwanza

Baada ya miezi miwili muongeze kidogo mshahara ufiki 150,000
 
Dah.. Buku2 msos kwa sku mbna atakufa njaa aisee
Nurse mwenye cheti cha addo
Duka lipo mwanza usagara
Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
 
Duuh kazi kweli kweli
Nurse mwenye cheti cha addo
Duka lipo mwanza usagara
Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
 
Back
Top Bottom