Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 786
- 1,621
Wewe ndio acha ufamba dogo. Yule sio mimi.Acha ufamba 🤒😎
Unataka nikugawie wastani kwa idadi??? 🤒😎Wewe ndio acha ufamba dogo. Yule sio mimi.
Sawa ila yule sio mimi.Kumekuucha kumekucha
Mi sio Komando, mi ni muuza madafu tu.Comandoo kuruka kutokea juu na parachuti huwa amsikii kizunguzungu?
Yule sio mimi. Mi ni muuza madafu tu mkuu.Ulimaanisha nini siku ya muungano uliposema
"Ukija bila guard nitagawa kwa wastani wa idadi."
Wala simjui na sijui anapoishi huyo commando.Mtafute komandoo mpige picha ya pamoja kisha utuonyeshe hiyo picha
Mwaisaa kanali Kunde umeniwahi, na mimi ningebadili ID na kujiita Muuza Madafu wa IkuluKumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Huyo Kanali kunde simjui ila mi ni muuza madafu, nilialikwa tu ikulu siku ile.Mwaisaa kanali Kunde umeniwahi, na mimi ningebadili ID na kujiita Muuza Madafu wa IkuluView attachment 2976106
Kazi yangu ya kusukuma baiskeli ikiwa na madafu ni mazoezi tosha.Huwa unaenda gym kabla au baada ya kazi?