Muuza chips mzoefu anahitajika tabata segerea

krishna

Member
Sep 2, 2016
48
20
Wandugu, natafuta muuza chips mwenye uzoefu, maeneo ni tabata segerea kituo cha kwa bibi, kama una ndugu mwenye uzoefu apige namba 0789443619
 
Naweza sana mambo hayo ila cheti sina. Nipo Vingunguti kama bado unahitaji nipo mm nije nikusupply vitu adimu
 
Back
Top Bottom