Muungwana ni vitendo, kwa hili Spika Ndugai amuombe radhi Masele

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
582
1,000
Hatimaye tume iliyoundwa kumchunguza Mr Nkodo Dang ambaye ni Rais Bunge la Africa, Imebaini ni kweli huyu bwana Dang alihusika na vitendo vya kuwanyanyasa kingono wafanyakazi wa Bunge hilo.

Nadhani sasa ni wakati muafaka kwa Spika Job Ndugai kumuomba msamaha Mbunge Steven Massele .

Kwa maana maaumzi yake aliyotoa juzi inaonyesha hakutumia kanuni yoyote ile zaidi ya kudanganywa na huyu Baazaz Dang

Muungwana ni vitengo na kwahili Spika umeteleza.
Alex Fredrick
Dar es salaam
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
38,768
2,000

Naunga mkono hoja
P
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,741
2,000
Aibu kubwa sana, huyu spika anapiga ccm wenzake na kuwavua nguo wakina mama bila kuomba msamaha bali kujisifu hadharani ndiyo aombe msamaha kwenye hili la masele, sahau kabisa
 
DAFU NA NDIMU

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,481
2,000
Speaker lazima utoe sauti ya kusika vizuri tu hata kwa waliombali.
Kiti cha spika kimenajisiwa.
Lkn tukumbuke kuwa aliteuliwa na kichaa mwenye kawaida ya kuteua vichaa wenzake
 
Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
582
1,000
Naunga mkono hoja
P
Sikuona huu uzi,kongole bro
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom