Habari zilizonifikia leo kutoka chanzo changu cha uhakika zinasema muda si mrefu kuanzia sasa Muungwana atafanya reshuffle nyingine na atamuondoa pinda katika nafasi ya uwaziri mkuu kwavile anaonekana kupwaya na kutoimudu kauli mbiu yake ya kasi mpya.
Chanzo hicho ambacho kiko karibu na mtandao maslahi kinasema Lowasa atarudi ulingoni lakini siyo katika nafasi ya uwaziri mkuu tena lengo ni politiki ya Muungwana katika kupunguza 'maumivu' aliyomsababishia Lowasa katika shwala zima la kashfa ya ufisadi kwa madai kuwa 'hakumkingia kifua'.
Mpasha habari anasema,aliyoandika Kubenea siyo madogo na hivyo kumweka muungwana njia panda na kuzidi kumgwaya lowasa kwani kama lowasa atadhamiria kweli inaweza kuleta mpasuko mkubwa ndani ya chama na taifa kwa ujumla.
Habari kwa sasa ndiyo hiyo wakuu,mengi zaidi baadaye!
Habari zilizonifikia leo kutoka chanzo changu cha uhakika zinasema muda si mrefu kuanzia sasa Muungwana atafanya reshuffle nyingine na atamuondoa pinda katika nafasi ya uwaziri mkuu kwavile anaonekana kupwaya na kutoimudu kauli mbiu yake ya kasi mpya. Chanzo hicho ambacho kiko karibu na mtandao maslahi kinasema Lowasa atarudi ulingoni lakini siyo katika nafasi ya uwaziri mkuu tena lengo ni politiki ya Muungwana katika kupunguza 'maumivu' aliyomsababishia Lowasa katika shwala zima la kashfa ya ufisadi kwa madai kuwa 'hakumkingia kifua'. Mpasha habari anasema,aliyoandika Kubenea siyo madogo na hivyo kumweka muungwana njia panda na kuzidi kumgwaya lowasa kwani kama lowasa atadhamiria kweli inaweza kuleta mpasuko mkubwa ndani ya chama na taifa kwa ujumla.
Habari kwa sasa ndiyo hiyo wakuu,mengi zaidi baadaye!
Join Date: Fri Oct 2008
Posts: 1
Rep Power: 0
Kakulwa
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Credits: 301
Haya Bw/Bi tumesikia....
PINDA ni chaguo la Mungu kwa WaTanzaniaHabari zilizonifikia leo kutoka chanzo changu cha uhakika zinasema muda si mrefu kuanzia sasa Muungwana atafanya reshuffle nyingine na atamuondoa pinda katika nafasi ya uwaziri mkuu kwavile anaonekana kupwaya na kutoimudu kauli mbiu yake ya kasi mpya.
Chanzo hicho ambacho kiko karibu na mtandao maslahi kinasema Lowasa atarudi ulingoni lakini siyo katika nafasi ya uwaziri mkuu tena lengo ni politiki ya Muungwana katika kupunguza 'maumivu' aliyomsababishia Lowasa katika shwala zima la kashfa ya ufisadi kwa madai kuwa 'hakumkingia kifua'.
Mpasha habari anasema,aliyoandika Kubenea siyo madogo na hivyo kumweka muungwana njia panda na kuzidi kumgwaya lowasa kwani kama lowasa atadhamiria kweli inaweza kuleta mpasuko mkubwa ndani ya chama na taifa kwa ujumla.
Habari kwa sasa ndiyo hiyo wakuu,mengi zaidi baadaye!
Huyu Kakulwa anaweza kuwa ana malengo yake kuweka bandiko hili.
lakini wakuu on a serious note, hivi mnauonaje utendaji wa Pinda tangu ateuliwe kushika wadhifa huo? Has he delivered as expected?
Join Date: Fri Oct 2008
Posts: 1
Rep Power: 0
Kakulwa
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Credits: 301
Haya Bw/Bi tumesikia....
Habari zilizonifikia leo kutoka chanzo changu cha uhakika zinasema muda si mrefu kuanzia sasa Muungwana atafanya reshuffle nyingine na atamuondoa pinda katika nafasi ya uwaziri mkuu kwavile anaonekana kupwaya na kutoimudu kauli mbiu yake ya kasi mpya.
Chanzo hicho ambacho kiko karibu na mtandao maslahi kinasema Lowasa atarudi ulingoni lakini siyo katika nafasi ya uwaziri mkuu tena lengo ni politiki ya Muungwana katika kupunguza 'maumivu' aliyomsababishia Lowasa katika shwala zima la kashfa ya ufisadi kwa madai kuwa 'hakumkingia kifua'.
Mpasha habari anasema,aliyoandika Kubenea siyo madogo na hivyo kumweka muungwana njia panda na kuzidi kumgwaya lowasa kwani kama lowasa atadhamiria kweli inaweza kuleta mpasuko mkubwa ndani ya chama na taifa kwa ujumla.
Habari kwa sasa ndiyo hiyo wakuu,mengi zaidi baadaye!
'Watu wanadhani JK ni naive,hajua yanayoendelea nchini.Nakwambiaje,JK anawajua wabaya wake wote na anajua changamoto zinazomkabiri wakati atakapoomba kura mwaka 2010.Wewe si unaona hii ziara ya mbeya,si unaona alivyouteka mkoa kwa juhudi za kina mwakipesile?Mambo ndiyo yameanza kuelekea 2010'.chanzo hicho kiliongeza.
Chanzo hicho chenye heshima na ambacho ni muhimu katika mustakabali wa taifa kilithibitisha pia kuwa Rais mstaafu Mkapa alikwishamuonyaJK kuwa asimpoteze Magufuli kisiasa kwani atamsaidia sana kurudisha imani iliyopungua ya wananchi kuhusu matarajio waliyokuwa nayo kwa JK kabla hajawa Rais.Hivyo JK atampa wizara mojawapo kati ya miundombinu ili arudishe kasi ya ujenzi wa barabara au elimu ili aendeleze ile kasi ya ujenzi wa shule iliyoanzwa na Lowasa ambayo imempa sifa sana JK hasa kwa wahisani.
Chanzo kinasema timu ya ushindi ya JK 2010 imeshaundwa na imepewa jina la 'KIKWETE TENA 2010' inayoongozwa na mmoja wa viongozi waandamizi wastaafu wa usalama wa taifa(jina linahifadhiwa),na wameshaanza kuzunguka mikoani na kuzungumza na viongozi wa mikoa ili kujua kukubalika kwa JK 2010.
Wakuu mwenye macho haambiwi tazama,kama mnategemea habari mpaka mletewe na mwakakijiji ndiyo muamini,haya!
Habari ndiyo hiyo wakuu,nitazidi kuzileta kwa kadiri ninavyozipata.
'Watu wanadhani JK ni naive,hajua yanayoendelea nchini.Nakwambiaje,JK anawajua wabaya wake wote na anajua changamoto zinazomkabiri wakati atakapoomba kura mwaka 2010...

.