Muungano

Muungano

Ngwale

New Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Sorry jamani
Mwezenu nataka kujua sababu kubwa ya wanzazibar kudai wao wawe nji huru isiyo tegemea muungano kutoka bara,
Swall "inamaanisha kwamba hakuna manufaa wanayo yapata bara hali tunaona wanzazibar kibao wamejazana kariakoo wakifanya biashara zao.
Nini kikubwa kinacho wapa jeuri ya kujitenga.
Fredrick ngwale-Dar es salaam.
 
Tangu lini MBUYU ukaomba kuungana na jani moja tu la tawi?? Hata mimi nina wasiwasi kuwa kuna jambo fulani Tanganyika inalipata huko labda marashi ya Pemba yanawaliza wengi kuyakosa. Waende zao kesho waone tutakavyo lilia hiyo harufu.
NASEMA TUMECHOKA KUSIKIA MUUNGANO HUU. nasema liwalo na liwe VUNJENI ILI TANGANYIKA WALIE
 
Sorry jamani
Mwezenu nataka kujua sababu kubwa ya wanzazibar kudai wao wawe nji huru isiyo tegemea muungano kutoka bara,
Swall "inamaanisha kwamba hakuna manufaa wanayo yapata bara hali tunaona wanzazibar kibao wamejazana kariakoo wakifanya biashara zao.
Nini kikubwa kinacho wapa jeuri ya kujitenga.
Fredrick ngwale-Dar es salaam.

Mkuu mbona hata wachina wapo kariakoo wanafanya biashara?
 
Mkuu mbona hata wachina wapo kariakoo wanafanya biashara?

Msijilinganishe na wachina!Muungano ukivunjika nyie mtakuwa sio wageni tena kama wachina,mtakuwa wabinafsi,wanafiki na wanyonyaji!Kama hamtaki muungano na Tanganyika mtakuwa mnatafuta nini Kariakoo?Mkivunja muungano jiandaeni kurudi kwenu la sivyo tengenezeni mavazi maalum ya kuzuia tindikali!!!!
 
Back
Top Bottom