MKuu, kitu muhimu katika muungano ni kuwa na Jina la pamoja la muungano, kuwa na makubaliano yaliyotiwa saini kwa ridhaa ya pande zinazohusika, kuwa na katiba moja, na kuwa na serikaali kuu moja. Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu. Suala la kuchanganya udongo si muhimu sana. Kwa sababu kwa kuchanganya udongo, sehemu ya bahari inayotenganisha Tanganyika na Zanzibar haijaondoka na kamwe haitaondoka!
Umuhimu wa picha ya kuchanganya udongo, ndugu Taya, ni kwamba ile ndio kielelezo cha ushahidi wa tukio la Muungano. Hati ya Muungano haipo! Badala yake tunapewa picha ya kuchanganya udongo na ndio maana watu wanachambua picha! Sasa watu wameamka, hiki sio kizazi kile cha wazee wetu waliopokea kila uzuri na upupu wa viongozi "wazazi" wa Taifa bila kuu question. Tunadai hati ya Muungano!MKuu, kitu muhimu katika muungano ni kuwa na Jina la pamoja la muungano, kuwa na makubaliano yaliyotiwa saini kwa ridhaa ya pande zinazohusika, kuwa na katiba moja, na kuwa na serikaali kuu moja. Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu. Suala la kuchanganya udongo si muhimu sana. Kwa sababu kwa kuchanganya udongo, sehemu ya bahari inayotenganisha Tanganyika na Zanzibar haijaondoka na kamwe haitaondoka!
Kama ulikuwa hautembei humu wakati ukiwa guest, nakushauri ujipe muda wa kuzungukazunguka utakutana na thread ya zamani ikizungumzia suala hili kwa marefu na mapana. naamini utapata majibu yako humoSIKUWEPO WAKATI MUUNGANO UNATOKEA.NIMEKUJA KUONA MATUKIO KWENYE PICHA TUU.KATIKA PICHA ZOOTE,PICHA MOJA YA TUKIO LA KUCHANGANYA MCHANGA NDIYO INAYONICHANGANYA.
IWEJE TUKIO MUHIMU KAMA LILE ANAELIFANYA NI MTU MMOJA TUU(Mwl Nyerere)?MBONA KARUME HAONEKANI KUSHIRIKI? NAOMBENI UFAFANUZI KWA WANAOELEWA HILI.
Kama ulikuwa hautembei humu wakati ukiwa guest, nakushauri ujipe muda wa kuzungukazunguka utakutana na thread ya zamani ikizungumzia suala hili kwa marefu na mapana. naamini utapata majibu yako humo
hujasoma siasa au uraia?? au hata historia basi??
Maswali mengine aisee
hata kama hatupendi muungano, tuuchukie kwa output yake lakini waliouanzisha walikua na nia njema iliyofeli
MkuuMKuu, kitu muhimu katika muungano ni kuwa na Jina la pamoja la muungano, kuwa na makubaliano yaliyotiwa saini kwa ridhaa ya pande zinazohusika, kuwa na katiba moja, na kuwa na serikaali kuu moja. Haya ni baadhi tu ya mambo muhimu. Suala la kuchanganya udongo si muhimu sana. Kwa sababu kwa kuchanganya udongo, sehemu ya bahari inayotenganisha Tanganyika na Zanzibar haijaondoka na kamwe haitaondoka!
Mkuu
Muungano wetu tulio nao tuufananishe na muungano gani dunia hii ? hao walioungana mmoja kafa bado tuna muungano ?
tafuta kitabu kiitwacko "Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru" there you will learn a lot about muungano