Habari zenyuu wakuu
Matumaini yangu mko wazima wa afyaa
Tukiwa tunasubiri uzinduzi wa kiwanda kingine
Moja kwa moja kwenye mada:Leo katika kusikiliza idhaa ya kiswahil Dw, (Dunia yetu leo mchana ) wakiwa wanaongelea influence ya Western katika uhatibifu wa amani ya Yemen, Kuna mchambuzi mmja kutoka Tanzania, aliongelea kuwa Marekani na Ulaya waliplay part kubwa sana katika kuunganisha Tanganyika na Zanzibar, ili kuzuiaa influence ya Soviet society, na umoja wa karibu ku dominate Zanzibar.
Tukirudi katika historia yetu ya vitabu tunaambiwa kuwa Baba wa Taifa Mwl, Jk Nyerere na mzee Karume ili kudumisha mshikamano, miongoni mwa wananchi
Naomba wajuzi wa mambo mnijuze kuhusu Hili, huenda Kuna ukweli umejificha katika Hili.
Ahasanteni,
Huku tukisubir waraka wa BAKWATA, kama watamfungulia BARABA au YESU.