Muungano wa Madaktari wa Kenya, wawakataa Madaktari wa Tanzania

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
Muungano wa Madaktari Kenya (The Kenya Medical Practitioners and Dentists Union - KMPDU) umepinga hatua ya serikali kuajiri madaktari toka Tanzania.

Wanasema kama Serikali ya Kenya wanahitaji Madaktari, wawaajiri kwanza madaktari 1,400 waliomo Nchini Kenya.

Tanzania imetoa Madaktari 500 kuitikia ombi la rais wa Kenya Uhuru Kenyata.

Hivi karibuni Kenya ilikumbwa na Mgomo mkubwa wa Madaktari wakishinikiza nyongeza ya Mshahara.

========

KMPDU Secretary General Ouma Oluga Criticises Government for Bringing Doctors From Tanzania

By JULIET MUTAHI

Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) Secretary General Ouma Oluga, has issued a new demand after Tanzanian President John Magufuli offered to send 500 doctors to Kenya.

Oluga demanded that the foreign medics must go through several procedures including undergoing an examination before they start working in the country.

The Secretary General criticised the government for seeking outside help yet there were many unemployed medical practitioners in Kenya.

He wondered why the government had to source for doctors from Tanzania yet it would pay the same money the local medics had been demanding for.

"Kenya has about 1,400 doctors awaiting employment. It would be very costly and therefore a show of imprudent public finance management to have 500 Tanzania doctors at Sh20,000 per day," he said.

At the same time, Dr Oluga accused the government of failure to retain doctor's in hospitals due to lack of proper working conditions.

He, however, assured that KMPDU would welcome the foreign practitioners and register them into the Union.

Earlier in the day, Magufuli had agreed to offer the 500 medics to help mitigate the effects of the recently called off strike following a request by President Uhuru Kenyatta.

He stated that there were many qualified and unemployed doctors who were ready to offer their services in Kenya.

Source: Government Issued New Demand After Magufuli Gives Kenya 500 Doctors
 
Tusipende kumsingizia na kukejeri kila jambo njema la raisi. Yeye kaombwa na uongozi wa Kenya atoe Madaktari sasa kosa lake liko wapi!?
Atulize kiherehere chake chini, Gap la human resources for health in Tanzania ni karibu 68%, angalia ratio yetu ya daktari na mgonjnwa ni mwendawazimu tu anayeweza kusema unampa msaada mtu ambaye tayari ana hali nzuri kuliko wewe na kunaenda kutoa kwa wale watanzania magalasa yako kuwapunguzia ambapo hawana kitu. Huyu Rais ni kweli anakichwa kibovu sana
 
Ninaishauri sana serikali ya Tanzania iachane na mambo ya Wakenya, matatizo ya wakenya yatatatuliwa na wakenya wenyewe.

Wakenya huwa wana tabia ya kugombana wenyewe kwa wenyewe na baada ya muda wanakubaliana na kusahau yaliyopita.

Wakenya ni wazalendo wakubwa sana kwa nchi yao ya Kenya, tusitegemee mgeni atapewa kipaumbele katika ajira na maisha huko Kenya.

Kuwapeleka madaktari wa Tanzania huko Kenya katika mazingira ya sasa na katikati ya mizozo yao ni sawa na kuwatoa 'kafara' hao madaktari, kitakachowapata watakuja kusimulia.

Naijua Kenya na Nawajua Wakenya.
 
safi sana.naunga mkono uamuzi wa hao madaktari wa kenya.

endapo Jpm na Kenyatta watalazimisha madaktari wa Tz kuja kenya,wakifika tu,basi waonyesheni watz ule unyang'au wenyu halisi wa kikenya uliowahi kuzungumzwa na jk nyerere ili watie adabu.

Edward Wanjala ukuje pande hii.
 
Ilikuwa swala la muda tu nilijua mapema madaktari wa Kenya watapinga hili la madaktari wetu kwenda kwao
 
Tusipende kumsingizia na kukejeri kila jambo njema la raisi. Yeye kaombwa na uongozi wa Kenya atoe Madaktari sasa kosa lake liko wapi!?
Hafikirii ni zero kabisa

Aje huku Sikonge aone kituo kinachotegemewa na wananchi 20000 kina daktari 1 basi ndio atuambie kama tumejitosheleza wenyewe

Ana kiherehere sana acha atukanwe kakosa adabu kwa watanzania wengi
 
Back
Top Bottom