Muungano ukivunjika

KANISA LAKO LINASEMA YESU ALIKUWA NA BABA WAWILI , SASA MTU MWENYE BABA WAWILI UTAMWITAJE ????




Hata Mimi nina baba wawili [emoji117] [ kama unavyo kataa Mungu sio Baba yako basi baba yako ni huyu [emoji117] hata sijui hoja yako nini [emoji15] [emoji12]
 
bado najiuliza hivi kwanini baada ya tanganyika kuungana na zanzibar Zanzibari imekuwa na bunge lake na Rais wake? Kwanini Tanganyika nayo haina bunge lake na Rais wake? ili yakichanganywa yakutane kwenye huo muungano tukiwa na uwiano unaokubalika?
Tanganyika tunawakilishwa na nani BUNGENI?
 
UMEKUWA MSEMAJI WA YESU ????

HICHO ULICHOKIOKOTA NA KUKI-PASTE ALIKISEMA YESU ????

WAPI ALIWAAMBIA WANAFUNZI WAKE MIMI NINAYESEMA HAYA NI MUNGU NIKIWA NIMEJIWEKEA NYAMA ??




Biblia Haikuandikwa apendavyo gvn [emoji12] Yesu anamjibu Filipo baada ya kufakamia amuoneMungu [emoji117] uliza teña [emoji4]
 
UMESAHAU MANENO HAYA ?????




wewe una baba wawili au wengi ?? mbona unamtoa Mwalimu wa Shoga Yayo ??? Askofu na kardinali Pengo ??
Yesu alikuwa anawalaumu Wayahudi kuwaita ma-rabbi zao Baba badala ya baba! sawa? gvn unakubali baba yako ibilisi?
 
Yesu alikuwa anawalaumu Wayahudi kuwaita ma-rabbi zao Baba badala ya baba! sawa? gvn unakubali baba yako ibilisi?


Yesu Ndivyo alivyokuambia kule kwa askofu wako Pengo ??? Hivi Wewe humwiti mwalimu wa shoga Yayo Agassi , BABA ???

Wala humwiti Askofu wako Pengo, Baba ??
 
Biblia Haikuandikwa apendavyo gvn [emoji12] Yesu anamjibu Filipo baada ya kufakamia amuoneMungu [emoji117] View attachment 797384 uliza teña [emoji4]
Biblia Haikuandikwa apendavyo gvn [emoji12] Yesu anamjibu Filipo baada ya kufakamia amuoneMungu [emoji117] View attachment 797384 uliza teña [emoji4]


WALA BIBLIA HAIKUANDIKWA HIVYO ATAKAVYO JESUIT MGEN




EXODUS 33:20




Lets read the verses in context.



1"Do not let your hearts be troubled. Trust in God; trust also in me.

2In my Father's house are many rooms; if it were not so, I would have told you. I am going there to prepare a place for you.

3And if I go and prepare a place for you, I will come back and take you to be with me that you also may be where I am.

4You know the way to the place where I am going."

5Thomas said to him, "Lord, we don't know where you are going, so how can we know the way?" (John 14:1-5)


In context we read that Jesus Christ (pbuh) is talking about God Almighty. Verse 2 gives the answer. Jesus says “In my FATHER’S house”. He is talking about going to paradise, he is talking about spiritual matters, they are thinking of some geographical location. So Jesus (pbuh) gives the reply.


“6Jesus answered, "I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.” (John 14:6)


He is the way to God. Every Prophet during his time was the way to God. At the time of Moses (pbuh) he was the way to God. The Children of Israel chose another way through golden calf, it wasn’t accepted from them. At the time of Noah (pbuh) he was the way to God. If you had to get saves, just get into the ark, that’s all ! At the time of Jesus (pbuh) he was the way to God.

But today, it’s the time of Prophet Muhammad (pbuh), he is the way to Almighty God.



7If you really knew me, you would know my Father as well. From now on, you do know him and have seen him." (John 14:7)



Here Jesus (pbuh) is saying that if you know me, you know God i.e. if you follow me, you are indirectly following Almighty God. Seeing God here means knowing God as we can see from the verse.



8 Philip said, "Lord, show us the Father and that will be enough for us." (John 14:8)



Here Philip is asking Jesus (pbuh) to show him God. The Bible says



“No one has ever seen God” (John 1:18)



“But," he (God) said, "you cannot see my face, for no one may see me and live." (Exodus 33:20)



Note : The word “God” in bracket is mine.


Being a Jew, he knew that no man can see God and live, making such an absurd request to Jesus (pbuh) of showing the father. So Jesus (pbuh) replies



9Jesus answered: "Don't you know me, Philip, even after I have been among you such a long time? Anyone who has seen me has seen the Father. How can you say, 'Show us the Father'? (John 14:9)



Jesus (pbuh) is saying to Phillips that he had been with him for so long and still making such an silly request of showing God, so Jesus says that “Anyone who has seen me has seen the father” meaning if you know me, you know Almighty God as well. You follow my teachings; you are following the teachings of Almighty God.



In context, we come to know that anyone who knows Jesus (pbuh) i.e. anyone who follows Jesus (pbuh) is indirectly following Almighty God to which we have no objection. Verses 1-2 give the context.
 

Na UTUKUFU WA MUNGU TUNAUONA [emoji117] hebu muulize baba kassim mbinu aliyekuwa Anaelewa lugha Imani ya Wakristo hadi anasema [emoji117] Hao wasemao sisi ni Wakristo ni Wasomi na Wacha Mungu [emoji117] hadi kaamua kulinda Makanisa yao kina gvn wasiyagaidi [emoji117] mdoli tumeutengeneza wenyewe...
 
Yesu Ndivyo alivyokuambia kule kwa askofu wako Pengo ??? Hivi Wewe humwiti mwalimu wa shoga Yayo Agassi , BABA ???

Wala humwiti Askofu wako Pengo, Baba ??

Kumbe hata wewe huelewi maana ya BABA na baba [emoji15] baada ya kutahiri utaelewa [emoji4]
 
Tanzania bara tunawakumbatia Zanzibar kwa kauli za Nyerere tu na si kitu kingine, lakini faida kwetu ni kama 10% tu, tunaunga'ngania muungano kujaribu kudhibiti ugomvi wa kidini. Nchi ina bunge, rais, makamu rais, n.k, hawa wanachama wa OIC hawachelewi ku
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106]
 


Msikilize Juma Duni upate kuelewa zaidi

 
Tanganyika haifaidiki chochote na huu ujinga uitwao muungano naimani Kuna siku Kuna mtu mwenye akili timamu atakuja kuuvunja.

Wapemba wanagombea hadi ubunge bara ilhali mmakonde hawawezi hata kupiga kura Zanzibar.
 
Tanganyika haifaidiki chochote na huu ujinga uitwao muungano naimani Kuna siku Kuna mtu mwenye akili timamu atakuja kuuvunja.

Wapemba wanagombea hadi ubunge bara ilhali mmakonde hawawezi hata kupiga kura Zanzibar.



Msikilize Babu duni hapo juu post ya # 375 utajua kama Tanganyika inafaidika au haifaidiki na nini lengo la Tanganyika kwa Zanzibar
 
Msikilize Juma Duni upate kuelewa zaidi

Hana jipya ni kama wewe [emoji12] sijasikia anasema wabunge Wa unguja wasiende dom [emoji15] [emoji12] njaa inaponza makalio [emoji38] [emoji38]
 
Hana jipya ni kama wewe [emoji12] sijasikia anasema wabunge Wa unguja wasiende dom [emoji15] [emoji12] njaa inaponza makalio [emoji38] [emoji38]


NJAA NDIO INAYOKUPONZA MAKALIO NDIO INAYOKUFANYA UMTUMIKIE MZEE WA KANISA PENGO ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…