Clemence Baraka
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,693
- 652
:der: Imeonekana katika kipindi cha kuchangia katiba kwamba sehemu kubwa ya wazanzibari hawautaki muungano na kwa sasa ni wazi jambo lenye utata zaidi katika mabadilikoya katiba ni hili la muungano.
Maono yangu ni kwamba kama itatokea muungano umevunjika iko siku zanzibari itakua sio huru tena na pengine kutawaliwa kabisa na Tanzania Bara.
Nasema hivyo kwa kuwa baada ya kuvunjika muungano ziko dalili kwamba Wazanzibari wanaweza wakafanya mambo ambayo yanaweza kuhatarisha usalama wa Tanzania Bara kama vya kigaidi na ikifika hapo bara haitaweza kuvumilia hali hiyo na italazimika kuchukua uamuzi wa kuivamia Zanzibari ili kujinusuru. Ni kama vile ilivyotokea Somalia kwa kuvamiwa na Kenya.
Dhambi ya ubaguzi haitaisamehe Zanzibari na itapata laana ya Mwalimu aliyekata roho akilia muungano usivunjwe. Sijui ni nini kinawatokea Wazanzibari! Wabara tumeishi nao kwa upendo japo kwa uchache wao lakini wamekataa upendo na sasa wanachagua uadui.
Maono yangu yanaenda mbali zaidi kwamba endapo ugomvi utatokea watatafuta msaada uarabuni lakini wakumbuke vita hiyo itapiganwa kwenye ardhi yao na madhara yake si haba. MUNGU IBARIKI TANZANIA.