Habari wanajamvi,
Ninaomba msaada kwa wale wajumvi wa haya mambo hususani katika kada ya Elimu. Kumekuwa na ucheleweshwaji mkubwa wa kubadili muundo wa utumishi hasa walimu baada ya kujiendeleza kielimu kutoka ngazi moja hadi nyingine (mfano Certificate to Bachelor).
Kitu kinachonishangaza ni kutofautiana kwa Halmashaur, zipo halmashauri watumishi wake wanabadilishwa muundo haraka mara watokapo masomoni zipo Halmashauri watumishi wanakaa zaidi ya miaka 3 hawajabadilishiwa huo muundo.
Naomba kufahamu tatizo huwa ni nini? Au ni utashi wa wakubwa pale Halmashaur kuamua huyu mtu abadilishwe au hapana. Na je tatizo kama hili ni ngazi gani inaweza ikalitatua mbali na Halmashaur husika?
Naomba wanayefahamu haya mambo tusaidiane mbinu walifanya nn mpk kufanikiwa maana wakubwa hawa wanasahau watu waligharamika kusoma