Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
From my little understanding on it,
Napendekeza kuwepo tume ya watu
from different groups e.g. wanataaluma, askaris, christians, muslims, wafungwa, vilema, wanasheria, wahandishi, waganga, NGO, vyama vya wafanyakazi, waajiri, wafanyabiashara wadogo wadogo, vyama vya siasa vyenye uwakilishi (ubunge, madiwani, nk kwa vile ambavyo ni rasmi.
waelimishwe, wachaguane. wakishateua team basi ichague secretariet ndogo yenye watu wajuzi na wasomi kwenye hii fani. wapite kukusanya maoni, na riport yao ipelekwe kwenye timu then timu ipewe muda wa kurudi kwenye jumuiya zao ikiwezekana ile timu ndogo iende kwenye makundi kama hitaji fulani halikuzingatiwa na kutoa ufafanuzi. Wakikubaliana then ipelekwe kwa wananchi wote kwa voting. Before voting, kila mtu awe huru kuipigia kampeni kifungu fulani.
Iundwe tume huru ambayo jukumu lake ni kusimamia mchakato wa kuandika katiba mpya,iteuliwe na bunge kwa kupigiwa kura kuzingatia na sifa na vigezo vitakavyoonekana vinafaa
...tume hii isimamiwe na Bunge!...Wakamilishe jukumu hili kwa kupitia kwa wananchi katika kada zote na kuchukua maoni na kero zao mbali mbali kabla hawajakaa na wanasheria na wanazuoni mbali mbali na kuweka sawa hili na lile kabla hawajaipeleka Bungeni na Bunge kuisoma wazi na baada ya kujiridhisha idurufiwe na kuanza kutumika!
Wengi tumetatizika na mapendekezo ya Muungo wa Tume ya Rais ya Kupitia Katiba kama inavyopendekezwa na Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba. Tuna tatizo jinsi Tume hiyo inavyoundwa, nguvu zake, majukumu yake n.k Baada ya kusoma zile kanuni za msingi za Kuelekea Katiba Mpya yawezekana kila mmoja wetu ana mawazo kuwa tunataka Katiba ambayo kweli itatokana na wananchi na siyo ya kuburuzwa na chama tawala au na serikali.
Binafsi ninayo mapendekezo yangu ya mchakato na muundo na nimefikia mbali kidogo lakini nami ninapata tatizo ambalo wengi tutakutana nalo. Tukizingatia kanuni zile tano za kuelekea Katiba Mpya:
a. Nani asimamie mchakato wa kuandika Katiba Mpya
b. Ateuliwa na nani
c. Asimamiwe na nani
d. Akamilishe vipi jukumu hilo
Kwa hiyo naomba mawazo yatanisaidia na mimi kurefine mawazo yangu kuhusu muundo ili niweze kuwashirikisha nanyi. Je Katiba Mpya tunayotaka mchakato wake uweje kulinganisha na ule uliopendekezwa na serikali? Mchakato ambao utaonesha kuwa wananchi ndio wanaoandika Katiba yao hasa na siyo kikundi cha watu wachache wateuliwa?
Inaundwa na nani?
Huoni yaweza kuwa ni kubwa sana kama itajaribu kuwa "all inclusive"?
Tume iundwe na rais na ipitishwe na theluthi mbili ya wabunge waliochaguliwa na wananchi,sio walioteuliwa na vyama.
Ili kutoa uwanja mpana zaidi wa fursa kwa watu wote; huku mitaani tunapoishi kuwe na vikamati vidogo vidogo ambavyo vitaongozwa na wale wajumbe wa nyumba kumi.
Point hapa ni nani ateue au achague tume,it's almost impractical kuupa umma nguvu ya kuteua tume,umma haupo homogeneous na kama serikali haitachagua tume hakuna njia yoyote nyingine.....we should know that,vigezo atavitumia rais na bunge litakubali au kukataa.Vigezo vya Rais kuteua wajumbe wa tume vinawekwa na nani? kwenye Bunge ambalo theluthi yake ni wabunge wa chama cha Rais kuna uwezekano gani wa kubadilisha wajumbe walioteuliwa na Rais?
Nimelipenda wazo lako sana; isipokuwa kutumia wajumbe wa nyumba kumi kwani ni mfumo wa CCM huo. Labda hapa tuulize tuna mfumo gani katika ngazi za mitaa ambao unaweza kutumika?
From my little understanding on it,
Napendekeza kuwepo tume ya watu from different groups e.g. wanataaluma, askaris, christians, muslims, wafungwa, vilema, wanasheria, wahandishi, waganga, NGO, vyama vya wafanyakazi, waajiri, wafanyabiashara wadogo wadogo, vyama vya siasa vyenye uwakilishi (ubunge, madiwani, nk kwa vile ambavyo ni rasmi. waelimishwe, wachaguane. wakishateua team basi ichague secretariet ndogo yenye watu wajuzi na wasomi kwenye hii fani. wapite kukusanya maoni, na riport yao ipelekwe kwenye timu then timu ipewe muda wa kurudi kwenye jumuiya zao ikiwezekana ile timu ndogo iende kwenye makundi kama hitaji fulani halikuzingatiwa na kutoa ufafanuzi. Wakikubaliana then ipelekwe kwa wananchi wote kwa voting. Before voting, kila mtu awe huru kuipigia kampeni kifungu fulani.
Napendekeza mchakato huu ndo utungiwe sheria na usizuiwe watu kuzungumza jambo fulani kwani katiba ya sasa itatumika mpaka hapo matokeo ya upigaji kura yatakapoisha.
Naomba kuwakilisha.
Point hapa ni nani ateue au achague tume,it's almost impractical kuupa umma nguvu ya kuteua tume,umma haupo homogeneous na kama serikali haitachagua tume hakuna njia yoyote nyingine.....we should know that,vigezo atavitumia rais na bunge litakubali au kukataa.
juu ya composition ya bunge,you can't help it! 80% said no to multiparty system and 20yrs later 80% of parliament is CCM. For whatever reasons people don't really buy what "people" are selling,you ran on peoples power and you got it!Sorry if that was cold.
Tusifanye makosa yetu ya kila siku kuwapa watu mamlaka ktk fani zisizokuwa ktk taaluma yao..hivyo basi tume itaundwa baada ya kuelewa tunataka kujenga kitu gani maana neno katiba tu halijitoshelezi