Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Tutampataje mkurugenz?Tunataka Mkurugenzi wa Tume asiteuliwe na Raisi
Kuhusu mshahara labda watendaj wote waandamiz walipwe na vyama vyenye ruzuku, changamoto yake ni hata hivyo vyama vyenye ruzuku vinalalamikia ukata wa pesa ya kuendeshea vyama vyao.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi mkuu awe jaji msitafu ateuliwe na wawakilishi wa vyema vya siasa kwa kupiga kura na alipwe na vyama vya siasa vyenye ruzuku kwa mkataba wa miezi 6 maana yangu mwenyekiti wa uchaguzi mkuu awe ni wa muda
Km inashindikana kwa katiba mpya kiujumla wake inawezekana kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguziLabda tulizane hivi ule mjadala wa Katiba Mpya ulishiaga wapi?
Je, ni nini hasa kilicho kwamisha suala hili?
Kwa sasa mwenyekiti wa nec ni jaji Kaijage (jaji mstaafu wa mahakama ya rufani)Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi mkuu awe jaji msitafu ateuliwe na wawakilishi wa vyema vya siasa kwa kupiga kura na alipwe na vyama vya siasa vyenye ruzuku kwa mkataba wa miezi 6 maana yangu mwenyekiti wa uchaguzi mkuu awe ni wa muda
Ateuliwe na nani ndugu!!??Tunataka Mkurugenzi wa Tume asiteuliwe na Raisi
Huko Kenya pia mbona kuna malalamiko ya uchaguzi kutokuwa huru na hakiMkuu wewe ndio mvivu kusoma yalisasemwa mengi Sana na mifano mingi ikalewa. Soma huku jukwani utaona namna walivyofananisha na tume ya uchaguzi ya Kenya na muundo wake.
Ukishindwa kuipata nijulishe nikuoneshe ulivyo mvivu.
Ukishindwa kabisa pitia pendekezo la katiba ya Warioba.
Aombe kaziAteuliwe na nani ndugu!!??
Awe na sifa zipi?Aombe kazi
Kuna suala la muundo na Kuna suala la kisheria na suala la utendaji. By default tume ni huru, Ila watendaji wanaweza kushindwa kutekeleza wajibu wao kwa kuingiliwa au incompetence vyote vinaweza kufanya uchaguzi usiwe huru.Huko Kenya pia mbona kuna malalamiko ya uchaguzi kutokuwa huru na haki
Nchi nyingi haya mambo yamezekana sema hapa Tanzania CCM inataka iendelee kuwazulumu WatanzaniaTume huru sio mchezo hiiii
Unaweza kuunda Tume huru ya Uchaguzi Tanzania iwapo tu wajumbe wake watakuwa ni malaika wa Mwenyezi Mungu, kinyume cha hapo sahau kuhusu kupata Tume ya aiana hiyo, Tanzania na hata kwingineko.Rejea kichwa cha habari hapo juu mara kibao tumewasikia wadau mbalimbal kutoka kada tofauti wakilalamika kuhusu utendaj kazi wa tume ya uchaguzi wengine wamefika mbali zaidi kwa kukosoa upatikanaji wa watendaji waandamizi wa tume ya uchaguzi.
Lakini wote hao sijawahi ona sehemu yoyote wakitoa mtazamo mbadala kuwa kipi kifanyike ili kupata namna ya kuweza kupata watendaji kuanzia waandamizi makao makuu ya tume mpaka wanaosimamia chaguzi za serikal za mitaa.
Kupitia bandiko hili napendekeza wanajamvi tujadiliane kistaarabu kama mara zote tunavyoamin katika demokrasia na uhuru wa kujieleza ukizingatia humu jamvini tuna wasomi wa kada tofauti naamin tutaongezeana maarifa.