Nimeeipenda sana hiyo, Magufuli akiingia la kwanza ni kupunguza wizara ambazo hazina kichwa wala miguu kama ulivoonesha ndugu mleta mada
Nimeeipenda sana hiyo, Magufuli akiingia la kwanza ni kupunguza wizara ambazo hazina kichwa wala miguu kama ulivoonesha ndugu mleta mada
Nimeeipenda sana hiyo, Magufuli akiingia la kwanza ni kupunguza wizara ambazo hazina kichwa wala miguu kama ulivoonesha ndugu mleta mada
1. Wizara ya Fedha, Uchumi na Uwekezaji,
2. Wizara ya Nishati na Madini,
3. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
4. Wizara Maji, Ardhi na Maendeleo ya Makazi
5. Wizara ya Ulinzi na JKT
6. Wizara ya Afya, Usafi wa Mazingira na Ustawi wa Jamii
7. Wizara ya Mazingira, Maliasili na Utalii
8. Wizara ya Kilimo, Mifugo, Ushirika na Masoko
9. Wizara ya Viwanda na Biashara
10.Wizara ya Katiba, Sheria na Haki za Binadamu
11.Wizara ya Michezo, Sanaa na Utamaduni
12. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
13. Wizara ya Elimu, Ufundi na Sayansi
14. Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana
15. Ofisi ya Rais-Utumishi wa Umma
JF.
Mkuu huna habari kuwa ccm walisha kataa mabadiliko hayo kwenye bunge la katiba?????Nimeeipenda sana hiyo, Magufuli akiingia la kwanza ni kupunguza wizara ambazo hazina kichwa wala miguu kama ulivoonesha ndugu mleta mada
Mkuu, hilo linawezekana kama Rais anaunda serikali ifanye kazi badala ya kulipa fadhila kwa watu. Wizara 15 ni muafaka kabisa.
La nyongeza, hakuna sababu ya kila wizara kuwa na Naibu Waziri. Ukweli wenyewe wengi huwa hawana kazi za kufanya zaidi ya kulipwa fadhila na Rais. Ikibidi kabisa, manaibu waziri wasizidi watano.
Mkuu huo ni upotoshwaji wa kazi za waziri uliofanywa makusudi na CCM. Mtendaji na mwenye majibu ya serikali ni katibu mkuu wa waizara. Waziri anawajibika kisiasa. CCM wameteka wajibu wa serikali na kuifanya serikali kuwa idara ya CCM.Hilo la kuwandoa naibu mawaziri linahitaji mjadala kidogo kwa muundo wa sasa wa serikali na bunge. kumbuka waziri ndiye anayewajibika kuwasilisha na kutolea ufafanuzi hoja mbalimbali zinazohusu wizara. Sasa endapo waziri hayupo bungeni kwa sababu yoyote ile atawakilishwa na nani? Kumbuka waziri au naibu waziri ni lazima uwe mbunge!
Hilo la kuwandoa naibu mawaziri linahitaji mjadala kidogo kwa muundo wa sasa wa serikali na bunge. kumbuka waziri ndiye anayewajibika kuwasilisha na kutolea ufafanuzi hoja mbalimbali zinazohusu wizara. Sasa endapo waziri hayupo bungeni kwa sababu yoyote ile atawakilishwa na nani? Kumbuka waziri au naibu waziri ni lazima uwe mbunge!