muundo wa serikali kwenye katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

muundo wa serikali kwenye katiba mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by emma 26, Mar 6, 2011.

 1. e

  emma 26 Senior Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa njisi ilivyo binafisi nilipendelea serikali ya umoja wa kitaifa ambayo: chama kitakacho pata wabunge wengi kinaunda baraza la mawaziri,waziri mkuu atoke kwenye chama cha kikuu cha upinzani ili asimamie kwa ufasaha baraza la maziri, kuwe na mkuu wa mkoa lakini asiwepo mkulugenzi wa jiji.kuwepo na idara ajira kwa ajiri ya watu wanaomaliza vyuo vikuu na iwe na matawi nchi nzima ili kuwawezesha vijana wote kupata ajira,ubunge uwe miaka kumi misho na kusitafu miaka 50 ili watu wengine wangombee. Nawasilisha
   
 2. e

  emma 26 Senior Member

  #2
  Mar 7, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vizuri sana
   
Loading...