Mpenda.Haki
Member
- Jan 14, 2013
- 59
- 31
Kumekuwa na ghiriba nyingi toka kwa CCM kupinga serikali 3 na sasa wanatumia Vyombo vya Dora kuzuia mikutano ya vyama vya siasa wakati Kinana na Nape wakizunguka nchi nzima kunadi sera za CCM huku wakiwadharau, kuwakejeli na kuwabeza UKAWA. Ni hivi Bila serikali 3 hakitaeleweka. Na muundo ufuatao ndio unaofaa maana hakuna gharama yoyote itakayoongezeka kwa sababu hakuna hata mtu mmoja atakayeongezeka katika safu ya uongozi. Kitakachofanyika ni kutenga tu na kuweka mipaka kwa mambo ya Zanzibar, ya Muungano na ya Tanganyika. Wanaforum mnasemaje?