barakachaplin Senior Member Joined Jan 24, 2014 Posts 121 Reaction score 54 May 20, 2016 #1 Kumnunulia demu wako simu halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU. Kumlipia demu wako ada ya chuo halafu mwanaume mwenzako ananlipia ada ya hostel huo ni MGONGANO WA KIBIASHARA. Kumnunulia demu wako chupi halafu mwanaume mwenzako anamvua huo ni UVUKAJI WA MIPAKA. �� Ila kumlazimisha demu wako mkafanye mapenzi anakukatalia �� halafu mwanaume mwenzako analazimishwa na demu wako wakafanye mapenzi huo ni UTUMISHI HEWA.
Kumnunulia demu wako simu halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU. Kumlipia demu wako ada ya chuo halafu mwanaume mwenzako ananlipia ada ya hostel huo ni MGONGANO WA KIBIASHARA. Kumnunulia demu wako chupi halafu mwanaume mwenzako anamvua huo ni UVUKAJI WA MIPAKA. �� Ila kumlazimisha demu wako mkafanye mapenzi anakukatalia �� halafu mwanaume mwenzako analazimishwa na demu wako wakafanye mapenzi huo ni UTUMISHI HEWA.
W wa mbekenyera Senior Member Joined Jun 20, 2014 Posts 134 Reaction score 49 May 21, 2016 #2 hii ya utumishi hewa inauma xana kumoyo!