HatariTAHADHARI‼️
(Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia).
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile harufu ikawa inafika mpaka kwenye Petrol station ya jirani. Wahudumu wakatoa taarifa Polisi. Askari walipokuja jamaa akataka kulipua nyumba na kujiteketeza yeye pamoja na vyote vilivyopo. Aliposhindwa akaamua kujichinja shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Polisi wakavunja mlango na kuingia ndani ambapo walimchukua na kumuwahisha hospitali. Hata hivyo inadaiwa alifariki muda mfupi baadae.!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/hqomeHN7yQHC8RkY/
Tunawambia vijana utajiri una siri nyingi....usidanganyike kwa maneno matupu ati utacheza tu kwenye majukwaa upatenutajiri.TAHADHARI‼️
(Video hii ina maudhui ya kuogofya yanayoweza kuumiza hisia).
Inadaiwa kuwa huyu Jamaa alikua amepanga nyumba maeneo ya Kigamboni, barabara ya kuingia Baracuda Beach. Ndani ya nyumba alikua na kiwanda cha kutengeneza pombe feki aina ya K-vant, Konyagi, Henessy na brand nyingine. Inadaiwa alimuua mmoja wa wafanyakazi wake na akamtupa kisimani.
Sasa ile harufu ikawa inafika mpaka kwenye Petrol station ya jirani. Wahudumu wakatoa taarifa Polisi. Askari walipokuja jamaa akataka kulipua nyumba na kujiteketeza yeye pamoja na vyote vilivyopo. Aliposhindwa akaamua kujichinja shingoni kwa kutumia kitu chenye ncha kali. Polisi wakavunja mlango na kuingia ndani ambapo walimchukua na kumuwahisha hospitali. Hata hivyo inadaiwa alifariki muda mfupi baadae.!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/hqomeHN7yQHC8RkY/
Kwani hizo kazi zio za kupambana?Tunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
Upambanaji haramu, angalia alivyoishia. Angesalimika jela ingemhusuKwani hizo kazi zio za kupambana?
Tunawambia vijana utajiri una siri nyingi....usidanganyike kwa maneno matupu ati utacheza tu kwenye majukwaa upatenutajiri.
Check hizo kazi za jamaa enzi za uhai wake angekiri kuwa anazifanya na ndio zinampa hela?
Sana sana angekwambia analima Nyanya Iringa.
HahahaNa umasikini Una siri nyingi pia
Life is about duality (uwili uwili)
Ukimfatilia sana utakuta ni Kada wa chama kile.Huyu sijui malengo ya biashara yake yalikuwa nini
Upambanaji mwingi sana una uharamia ndani yake ni vile tu sometime huwezi jua nini kinaendelea. Uharamia mwingine unaweza onekana machoni mwa watu sio uharamia lakini machoni mwa Mungu ni dhambi.Upambanaji haramu, angalia alivyoishia. Angesalimika jela ingemhusu
Kifo chake kina uhusiano gani na kazi yake?Tunapenda wanaume wapambanaji, ila jamani tafuteni vya halali. Ona sasa
Mara nyingi deal haramu lazima ziwe na back up ya watu wabaya wa srikali ila anytime wanakugeuka huyo jamaa utakuta watu wa srikali walikuwa na mafungu yao hapo.Ukimfatilia sana utakuta ni Kada wa chama kile.
Hahaha.....jamaa kawakomalia kama alivyofanya Kiboko ya WachawiMara nyingi deal haramu lazima ziwe na back up ya watu wabaya wa srikali ila anytime wanakugeuka huyo jamaa utakuta watu wa srikali walikuwa na mafungu yao hapo.
Nakumbuka wauza gongo fulani namna walivyowahi mchengia askar fulan kuwa why wanawakamata as if hawawajui wakati huwa wanaenda kuchukua mgao wao!
Nakumbuka wapika gongo fulan ilikuwa wanapikia gongo maeneo ya geshi ambapo wale wakakamavu hawawezi ingia!