Mutharika’s is alive, extended stay in US

Lazima wamteteee, la sivyo atawashughulikia akirudi! Yaani rais anakutana na investors kwa siri hivyo, hata picha hamna! Ni uongo, jamaa yupo gheto huko USA anakula bata.
 
Haaah ndio viongozi wa kiafrika hao
Unakuta kachaguliwa hadi Demu kawekewa chumbani
 
Back
Top Bottom